UKWATA ni nini?

UKWATA ni kifupisho cha neno Ushirika wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania Ushirika huu ulianzishwa kwa lengo la kuwasaidia na kuwalea vijana wa secondary wanaosali makanisa ya LUTHERAN, MORAVIAN, ANGLICAN.
Ushirika huu hudhaminiwa na makanisa ya ushirika huo pamoja na wanafunzi wanaounda UKWATA mashuleni.
wanafunzi wa UKWATA at Iyunga Tech School
UKWATA ni nini? UKWATA ni nini? Reviewed by gwamaka on 11:15:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.